iqna

IQNA

Hebdo, Ufaransa
IQNA - Morocco imepiga marufuku usambazaji wa jarida la Kifaransa ambalo lina katuni zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW). Serikali ya Morocco imesitisha usambazaji wa toleo namba 1407 la Marianne, ikitaja kuwepo kwa taswira zinazomvunjia heshima  Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3478483    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10

Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu imelifungulia mashtaka gazeti la Charlie Hebdo la Ufaransa kwa sababu ya kuchapisha makala inayovunjia heshima kitabu kitakatifu cha Mwenyezi Mungu, Qur'ani na matukufu mengine ya Kiislamu.
Habari ID: 1377494    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19